Wakazi wa Mji wa Ukraine Wahangaika Kuhama Mjini..Kisa Mabomu ya Urusi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Picha hii inaonyesha wakazi wa jiji la Kyiv ambapo ndio makao makuu ya Ukraine wakiondoka mjini humo kufuatia mashambulizi ya makombora ya awali ya wanajeshi wa Urusi na Belarus mjini Kyiv, Ukraine.

Usiku wa kuamkia leo, Urusi ilianza mashambulizi makubwa dhidi ya Ukraine, huku milipuko ikiripotiwa katika miji mingi na nje ya maeneo yenye machafuko ya mashariki yanayoshikiliwa na waasi wanaoungwa mkono na Urusi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad