AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Msanii maarufu wa filamu za Kibongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameandika ‘Tumbo linanicheza kama mzazi. Ukraine! Hakuna ndege, nampataje mwanangu? Mungu wasimamie watoto wetu.'
Mtoto wa Monalisa, Sonia George yupo nchini Ukraine kimasomo ambapo mpaka Urusi inaivamia Ukraine na kuishambulia kijeshi hapo jana, binti huyo bado alikuwa nchini humo na mpaka sasa hana mawasiliano yoyote na mama yake, Monalisa.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK