Wenzetu Hawana Mchezo Kabisa..Boss CNN Ajiuzulu Kwa Skendo ya Mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


RAIS wa Televisioni maarufu duniani ya CNN Jeff Zucker ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa habari mwenye mchango mkubwa katika kuisuka CNN, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake ndani ya CNN baada ya kukiri kwamba amekua kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mfanyakazi mwenzake wa CNN Allison Gollust.

  

“Niliulizwa kuhusu uhusiano wa maelewano na mfanyakazi mwenzangu wa karibu, mtu ambaye nimefanya naye kazi kwa zaidi ya miaka 20, nimekubali kuwa uhusiano huo uliibuka katika miaka ya hivi karibuni, nilitakiwa kuuweka wazi ulipoanza lakini sikufanya hivyo, nimekosea…… matokeo yake ninajiuzulu leo”

Gollust ambaye amebaki kuendelea na kazi CNN amesema “Jeff na mimi tumekuwa Marafiki wa karibu na Washirika wa kitaaluma kwa zaidi ya miaka 20 lakini hivi juzi uhusiano wetu ulibadilika wakati wa Covid 19, ninajutia kwamba hatukuweka wazi uhusiano wetu kwenye muda tuliotakiwa kufanya hivyo, ninajivunia sana wakati wangu katika CNN na ninatarajia kuendelea na kazi nzuri tunayofanya kila siku”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad