Harmonize: Briana Ananisaidia Kuliko Sarah

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi; ni staa mwingine mkubwa wa Bongo Fleva ambaye amekuwa hakaukiwi habari.

Safari hii anaeleza namna ambavyo yeye si mtaalam wa lugha ya Kingereza isipokuwa mpenzi wake wa sasa, Briana anamsaidia kwenye eneo hilo kuliko ilivyokuwa kwa mpenzi wake aliyepita, Sarah.

Anasema; “Mimi siyo mtaalam sana kwenye Kingereza ila mtu akiongea namuelewa. Kingereza siyo lugha yetu, lakini cha msingi ni kujiamini tu!

“Mimi nimetokea mtaani, elimu yangu ni darasa la saba, sijaenda kozi yoyote ya kizungu! Mpenzi wangu Briana na yeye pia ananisaidia sana, siyo kama ilivyokuwa kwa Sarah kwa sababu Sarah na yeye Kingereza chake hakikuwa kizuri sana…”


 
Harmonize amekuwa akipendelea matumizi ya Kingereza kwenye nyimbo zake akiamini kuwa lugha hiyo inasaidia kuufikisha muziki wake mbali kimataifa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad