Wa Nigeria Watawala Billboard AFRO Beats Marekani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtandao wa Billboard tayari umeanzisha rasmi platform (Chart) mpya ya Afrobeats, inayobeba list ya ngoma kali kutoka Africa zinazofanya poa nchini Marekani.

Ikiwa ni wiki ya kwanza ya chart hizo, muziki wa Nigeria umeonekana kuzitawala zaidi chart hizo kwa takriban 98% ni muziki kutoka Nigeria na 2% kutoka Ghana.

Love Nwantiti ya Ckay, Peru ya Fireboy DML na Essence ya Wizkid na Tems zikikamilisha Top 3 ya chart hizo kwasasa, huku Wasanii kama Rema, Burna Boy, Omah Lay wakiupiga mwingi kwenye chart hizo kwa kuingiza zaidi ya ngoma moja.


Kwa mwanzo huu, unaiona wapi nafasi ya Bongo Fleva kwenye chart hizi ambazo wengi wamezitazama kama Daraja la kuutambulisha muziki wa Afrika Marekani na Duniani kote!?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad