4/21/2022

Mo Salah Avunja Rekodi ya Ozil Dhidi ya UnitedMshambuliaji wa klabu ya Liverpool Mohamed Salah usiku wa jana aliisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa bao nne kwa nunge dhidi ya Manchester United akifunga mabao mawili na kutoa usaidizi wa goli moja.

Mo Salah anakuwa mchezaji wa pili katika historia ya EPL kufunga na kutoa usaidizi wa goli dhidi ya Manchester United wakiwa nyumbani na ugeni rekodi iliyowekwa na Mesut Ozil miaka saba iliyopita wakati anakipiga ndani ya The Gunners (Arsenal).

Tukumbuke pia kabla ya mchezo dhidi ya Manchester United Salah alicheza michezo sita mfululizo ya EPL bila kufunga bao hata moja, gari imekuja kuwaka kwa Manchester United.

Vipi,inafaa tukisema United wamekuwa vibonde wa ligi?

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger