5/04/2022

Bei Mpya za Mafuta Dar es Salaam Kuanzia Leo


Bei mpya za mafuta Dar es Salaam kuanzia Leo Mei 4, 2022 Petroli: Tsh 3,148, Dizeli: Tsh 3,258 na Mafuta ya taa: Tsh 3,112.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema 93% ya ongezeko la bei limechangiwa na mabadiliko ya bei katika soko la dunia.


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger