Ticker

6/recent/ticker-posts

Baada ya Kujitangaza Kuwa ni Bikira REMA Aanza Kulisaka Penzi la Mrembo Terms


Baada ya kujitangaza kuwa yeye ni Bikra, msanii REMA (21) ameendelea kumake headlines kwenye social networks baada ya kubadili Display Picture (DP) Yake ya Twitter kwa kuweka picha ya mrembo Temsbaby huku akimsifu kwa uzuri alionao. “Tems fine as f***k”

Je, ni kweli Rema amedhamiria kujiweka kwa Tems au miyeyusho, bado Rema hajaweka wazi kwa asilimia zote japo ameendelea kutweet kuwa hafanyi hivyo kumkosea mtu heshima na amebaki kuwa kama shabiki kwa kile anacho tweet kwenye account yake ya twitter.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments