Ticker

6/recent/ticker-posts

BREAKING News: NECTA Watao Matokeo ya Kidato Cha Sita / Form Six Results 2022

 


Matokeo kidato cha sita yatangazwa, ufaulu waongezeka

Unguja. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.

Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana

BONYEZA HAPA KUSOMA MATOKEO RASMI

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments