Ticker

6/recent/ticker-posts

Jay Melody Kuhusu Remix ya Huba Hulu Kukwamishwa na Ali Kiba na Rayvanny


Kwenye waves za Empire ya EFM, Jay Melody ameendelea kukazia nut kuhusu ni nani hasa aliye kwamisha Huba Hulu Remix kutoka, kati ya Rayvanny na Alikiba. Jay amedai anawapenda sana hawa wasanii wawili na kila mmoja amemuinspire kwenye muziki wake lakini imefika hatua yeye ndiye atabaki kuwa mtu mwenye maamuzi ya mwisho kwenye hili.


Si kwa jina bali kuna msanii aliona kama dogo anataka kushindanisha au kupimanisha nguvu na ukiangalia ni wasanii ambao wapo/walikuwa pande mbili tofauti zinazo kinzana. Jay amemaliza kwa kusema kiufupi muziki umejaa matabaka yaliyo tengenezwa na wasanii wakubwa kwenye industry, na utaendelea kuwaumiza wasanii waliopo kwenye game na hata wanao kuja maana inakuwa kama uadui msanii huyu kufanya kolabo na msanii yule,anaonekana kwa jicho lingine kwa msanii flani.


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments