Ticker

6/recent/ticker-posts

Staa wa Simba SC Pape Ousmane Sakho Ashinda Goli Bora la Mwaka CAF


Staa wa Simba SC Pape Ousmane Sakho Raia wa Senegal amefanikiwa kuibuka Mshindi wa tuzo ya goli bora la mwaka, goli la Sakho alilofunga dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast ndio limemuwezesha kushinda tuzo hiyo.#CafAwards2022

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments