Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwijaku Atoboa Siri "Nandy Alitakaa Kunilipq 1.8 Milioni Ili Nimchafue Zuchu"


Sakata la mwanamuziki Nandy na Zuchu limeendelea kuchukua picha mpya mara baada ya mwanamitandao Mwijaku kudai kuwa mwanamuziki Nandy alitaka kumlipa kiasi cha million 1 na laki 8' ili tu aweze kupost katika ukurasa wake wa instagram taarifa za kumchafua mwanamuziki kutoka WcB Wasafi Zuchu.

Kupitia kipindi cha Amplifier ya clouds fm' mwijaku amefunguka hilo huku akidai kuwa sauti hizo zilizo sambaa mtandaoni ni kweli ni ya Nandy na alitumiwa mwaka 2021.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments