Ticker

6/recent/ticker-posts

Jack Wolper Pamoja Na Rich Mitindo Wanatarajia Kupata Mtoto Wa Pili


Jack Wolper Pamoja Na Rich Mitindo Wanatarajia Kupata Mtoto Wa Pili Pamoja. Ni Baada Ya Baba P RichMitindo Ambaye Ni Mzazi Mwenza (Wolper) Kuthibitisha Taarifa Hii Katika Ukurasa wake Wa Instagram 👇

"Asante Mungu kwa hiii zawadi nyingine, Wakati tulipofikiri kwamba tumebarikiwa Mtoto wa Kwanza ajabu Mungu Kaonyesha Miujiza Yake nakutupa furaha nyingine nasubiri kwa hamu ujio wako, karibu sana mwanangu, Mama ako Anakupenda sana, Pia mim na Kaka ako maombi yetu yapo juu yako 🙏 @wolperstylish @mitindojr"

Congrats 👏  

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments