Ahmed Ally "Simba Hatufanani na Mtu Zama za Mikataba Sare Sare Zumepita"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAOFISA Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema Simba ya sasa haitofanana kitu chochote na klabu nyingine ya Ligi Kuu kuanzia msimu ujao.

Ahmed amesema hayo wakati wa utambulisho rasmi wa mdhamini mkuu wa klabu hiyo kampuni ya M-bet.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Ahmed amesema zamani Simba ilikuwa inafanana kila kitu lakini safari hii itakuwa tofauti.

“Zile zama za kuwa na mikataba sare sare imeshapita, sisi Simba tunahitaji vitu vya tofauti kwa sababu tumewekeza kwa kiasi kikubwa,” amesema Ahmed.


Ahmed amesema hawana muda wa kuficha ficha masuala ya mikataba yao na ndio maana leo wameweka wazi.

“Tulisema leo tutaweka wazi kila kitu wakati tunatangaza wadhamini wetu na leo tupo hapa kuweka wazi mkataba una thamani gani,”

Simba na Yanga kwa miaka ya nyuma Simba na Yanga zilikuwa zinafanana kwenye mikataba ya kampuni zinazowadhamini.


Awali mwezi uliopita Simba iliitangaza M-Bet kuwa mdhamini mkuu baada ya kumaliza mkataba wao na kampuni ya SportPesa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad