Mwanamuziki Juma Jux Afungua Duka la Pili la African Boy maeneo ya Kariakoo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


African Boy, mwimbaji @juma_jux ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake "Nice (Kiss)" amefungua duka lake la pili la nguo za 'brand' yake African Boy maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.


Akiongea kwenye Instagram Live jana Alhamisi, amesema duka hilo limekamilika kwa asilimia kubwa na hivi karibuni atafanya uzinduzi.


Jux ambaye ni mbobezi wa biashara ya mavazi nchini, duka lake lingine kubwa la bidhaa zake lipo maeneo ya Sinza Afrika Sana jijini Dar es Salaam, na alifungua duka hilo mwezi Disemba mwaka jana.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad