Dully Sykes "Wasanii Wengine Wananiita Mjinga"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @princedullysykes ameamua kuvunja ukimya kufuatia baadhi ya wasanii wenzake wa zamani kumuona yeye kama mjinga anavyokuwa anafanya kazi na wasanii wa kizazi kipya.


Dully ambaye kwa nyakati tofauti ameonekana akifanya kazi na wasanii kama Kusah, Young Lunya na wengine, ameeleza hayo kupitia insta story yake, akiwaambia wenzake kuwa, kufanya kazi na wasanii hao sio kwamba ni kujishusha au ndio uwezo wao umeisha.


Watambue kwamba kuna muda wanapaswa wakubali kila kitu kina wakati wake, hivyo waishi kutokana na kizazi kinavyobadilika. Ameeleza @princedullysykes


Pia ameendelea kueleza kwamba hawa wasanii wa leo walijifunza kutoka kwao, na wao ni wakubwa zao, hivyo waishi nao tu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad