Mpango wa Simba Kumtumia Kocha Mkuu, Juma Mgunda Umekwama Kisa Vyeti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mpango wa Simba kumtumia kocha mkuu, Juma Mgunda katika mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Nyasa Big Bullets nchini Malawi umekwama baada ya kocha huyo kutokuwa na cheti cha leseni A CAF licha ya kusomea kozi ya daraja hilo. Taarifa kutoka ndani ya Simba zinasema kocha wa Simba Queens, Sebastian Nkoma atatua Malawi kesho kwa ajili ya kuongoza benchi la timu hiyo katika mechi ya kwanza Septemba 10


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad