Mzungu Amuibua Barbara "Tumesikitishwa Kitendo cha Kuvunja Mkataba Kupitia Mitandao ya Kijamii"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Uongozi wa klabu ya Simba umepokea taarifa ya mchezaji Dejan Georgijevic ya kuvunja mkataba na klabu yao.


Hata hivyo, tumesikitishwa na kitendo cha Dejan kuandika taarifa ya kuvunja mkataba kupitia mitandao ya kijamii bila hata ya kufanya mazungumzo na waajiri wake.


Uongozi wa Simba utachukua hatua stahiki juu ya mchezaji huyo kufuatia kuvunja mkataba bila ya kufuata utaratibu maalumu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad