Shaffih Dauda "Mimi niliwaambia kuwa kuna vitu havipo sawa ndani ya Simba"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mimi niliwaambia kuwa kuna vitu havipo sawa ndani ya Simba, ni juzi tu nilitoka kuwaambia hapa hapa mkaona nawakebehi, mkahisi siwatakii mema na kuamini nina agenda binafsi.

DIGALA sipo hapa kuonea mtu wala timu, sipo hapa kusema uongo ili kiwe nini? Huko tushapita, kila nikitaka niwape dawa naona mnakimbia drip kwa kuamini panadol inatosha kupooza maumivu.

Jana pia nimetoka kuwaambia mkishaenea darasani mwambieni Kiranja aje kuniita niwape darasa zuri sana Simba ila mkakaidi, kwasasa nawapa muda mjitafakari kisha DIGALA nitazungumza kuwaambia wapi mnakosea huko ndani.

Kubalini drip la DIGALA liwaingie, ni dawa nzuri sana kuliko hizo panadol zenu mnazopeana kuwa nawachukia, nawapenda sana, nataka niwaweke sawa.

Nasubiri Press Release nipo pale nimekaa, mkienea darasani basi mtumeni Kiranja aje kuniita.

THIS IS DIGALA.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad