Zari Anawachukia Hamisa Mobetto na Tanasha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Stars Media Hamisa Mobeto; ni mwanamitindo wa kimataifa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye ameibua mjadala mzito akidaiwa kuibua tuhuma nzito dhidi ya baby mama mwenzake kwa msanii Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady.

Hamisa, Zari na Tanasha Donna; wote wamezaa na Diamond, lakini kumekuwa na madai kwamba, wawili kati yao wanaelewana, lakini mmoja anawachukia wenzake.

Inafahamika kwamba, pamoja na wote kuzaa na Diamond, lakini Hamisa na Tanasha ni marafiki ambao wamekuwa wakipeana kampani na kutamani kuwakutanisha watoto wao, Dyllan na Naseeb Junior, jambo ambalo Zari hataki kulisikia.

Katika moja ya mahojiano yake, Hamisa anakaririwa akisema kuwa, yeye na Tanasha wapo sawana wanawasiliana vizuri na wapo tayari kukutanisha watoto wao, lakini tatizo lipo kwa mwenzao ‘mke mkubwa’, Zari.
“Mimi na Tanasha Donna tupo sawa na tunawasiliana sana, ila tatizo lipo kwa mwenzetu (Zari), labda hapendi kuwaweka watoto karibu, ila haina shida,” anasema Hamisa.

Chuki ya Zari dhidi ya Hamisa ilikuja baada ya kuchepuka na Diamond na kupata naye mtoto akijua fika kwamba jamaa huyo yupo naye kwenye uhusiano ulioshiba akiwa amembebea mimba ya mtoto wa pili.
Tangu hapo, Zari na timu yake hawakumuacha salama Hamisa kwani wamekuwa wakimshambulia asubuhi, mchana na usiku.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad