Baba Levo "Harmonize Amejiweka Nafasi yake Kushindana na Mbosso, Diamond Hamuwezi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya mwanamuziki Harmonize kutangaza kuachia Album yake mpya tarehe na siku moja sawa na uzinduzi wa EP ya Mbosso ,mtangazaji wa Wasafi media na mwanamuziki Officialbabalevo amedai kuwa mwanamuziki Harmonize kwa sasa amejiweka katika nafasi yake sahihi ya ushindani.

Kupitia moja ya interview aliyofanya hivi karibuni BabaLevo ameeleza kuwa ni sawa kwa boss huyo wa Konde Gang kushindana na mbosso_ baada kumshindanisha na Diamond Platnumz.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad