Harmonize Kufuata Nyayo za Burna Boy, Eendelea Kumwagia Sifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Kutoka insta story ya mwanamuziki Harmonize ameendelea kushusha sifa kwa nyota wa muziki nchini nigeria Burna Boy kwa hatua kubwa anazopiga katika muziki wake kimataifa, huku akijitaja kuwa yeye ndie atakayefuata.

Katika post hiyo pia Harmonize ameendelea kusisitiza kuwa mwanamuziki BurnaBoy ndye msanii namba moja kwa sasa Africa, huku akikumbuka baadhi ya matukio yake ya pamoja.

Wawili hao tayari wameshafanya kazi 2 za pamoja ambazo ni Kainama pamoja na Shake your body".

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad