Msanii AT Atoa Taarifa Rasmi ya Kubadili Jina lake la Muziki "Msiniite Tena AT"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hatimaye msanii Bey zamani AT ametoa taarifa rasmi ya kutokulitumia tena jina la AT na sasa akitambulika kwa jina la BEY.

Bey @iamthebey ambaye hafanyi muziki wa mduara, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kwamba moja ya sababu iliyomfanya akaachana na jina lake hilo la zamani ni kutokana na msanii mwingine nje ya Tanzania kutumia jina hilo.

"Hellow..!! Leo ni siku Special kwangu sababu najiona kama nimezaliwa upya kwenye game ya muziki.

Nilitangaza kuacha muziki wa mduara na leo rasmi natangaza kuachana na kutumia jina la AT kwa sababu nyingi, moja wapo ikiwa muingiliano wa jina langu na msanii mwingine ambae yupo nje ya mipaka ya Tanzania, ikiwa mipango yangu mikubwa ni kufika kimataifa nimeona nitumie fursa hii kujiandaa mapema.

Kwa sasa nitatambulika kama #BEY na sio AT, na nitakuwa kwenye mziki wa kisasa wa kibiashara zaidi na #YAYA ndio wimbo wangu wa kwanza kama #BEY

AHSANTENI.''
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad