Mtoto wa Raila Odinga Asikitika Raila Kukosa Urais wa Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Winnie Odinga ambaye ni kitinda mimba wa kiongozi wa upinzani Raila Odinga, amesikitishwa na jinsi baba yake alikosa kutwaa ushindi wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti 9. Wakati aliporejea kwenye Twitter tangu aondoke mwezi Septemba, Winnie alisema wakati kama huu angekuwa yuko Ikulu na baba yake, ikiwa yeye ndiye angesimamia uchaguzi.


“Nimerudi Twitter baada ya muda, na kweli nimetupiwa makombora makali. Naona mmekuwa mkiongea sana. Jueni kwamba kuna tofauti kubwa ya kimfumo kati ya wakati wa kampeni za uchaguzi na siku ya uchaguzi. Kama ningesimamia uchaguzi, ningekuwa niko Ikulu saa hii.” Winnie alisema.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad