Ramathan Brothers Wapongezwa na Rais Samia Suluhu Hassan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Rais Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake wa Twitter, amewapongeza Vijana wa Kitanzania, Ibrahim na Fadi (The Ramadhan Brothers) kwa mafanikio ambayo wameyapata kwenye shindano la Australia's Got Talent kwani onesho lao limeitangaza vyema nchi yetu.


Fahamu, @ramadhanibrothersofficial walipiga show kali hadi kupewa Golden Buzzer ambayo hutolewa kwa nadra sana, hivyo imewafanya wasonge mbele kwenye shindano hilo ambapo wanashow moja nyingine kubwa ya nusu fainali.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad