Yanga Wamaliza Kazi Mapema katika Uwanja wa Mkapa Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



BENCHI la Ufundi la Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, limeweka wazi kuwa, mpango wao mkubwa ni kupata matokeo mazuri mapema ili kuongeza hali ya kujiamini.

Yanga wanatarajiwa kuwakaribisha Simba wanaonolewa na Juma Mgunda katika Uwanja wa Mkapa, Dar, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Cedric Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga, amesema wapo tayari kusaka ushindi kwenye kila mchezo na nia yao kubwa ni kupata ushindi wa mapema.


Kikosi cha timu ya Simba.
“Kwenye mechi zetu zote ambazo tunacheza kikubwa tunahitaji kupata mabao mapema, hiyo itatufanya tuongeze hali ya kujiamini na wachezaji kutimiza majukumu yao kwa umakini.

“Muhimu ni kuwaheshimu wapinzani wetu na tunajua kila mchezo ni mgumu, hivyo ambacho tunalifanyia kazi mazoezini kujiandaa vizuri ili kupata ushindi,” alisema Kaze.

Rekodi zinaonesha kwamba, msimu huu katika Ligi Kuu Bara, Yanga ikiwa imeshuka dimbani mara tano, imefunga mabao manne kipindi cha kwanza kati ya mabao 11 iliyonayo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad