Aunty Ezekiel Aukataa Uke Wenza Kwa Ruby "Nitaua Mtu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Moja kati ya mahusiano yanayowavutia wengi ni ndoa ya bwana Haji Manara na wake zake wawili (Mke mkubwa na Mdogo) kwa namna ambavyo anavyoonesha mitandaoni na watu wengi kuvutiwa nayo.

Kupitia moja ya picha ya watatu hao mtandaoni (Manara na wake zake), imepostiwa pia kwenye ukurasa wa Aunty Ezekiel ambaye huyu ni staa kunako Bongo Movie, na kuipamba picha hiyo kwa ujumbe "Kaka yangu na mawifi zangu"

Ujumbe huo wa Aunty ulimkosha Manara na kukomenti akitoa ushauri kuwa kama vipi mpenzi wa sasa wa Aunty Ezekiel ambaye ni Kusah arudiane na mpenzi wake wa zamani, mwimbaji Ruby ili wawe wawili pia maana watapendeza, kitu ambacho Aunty Ezekiel hajakubalina nacho kabisa, akidai ikitokea hivyo ataua mtu.

"Kusah anapaswa aniige kaka yake, amrudishe Ruby muwe wawili, tena nyie mtapendeza mno.." - ameandika Haji Manara na Aunty Ezekiel kumjibu kwamba, "Naua"


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad