Huu Uhusiano Ukifika Mbali Mie Niko Hapo Nimekaa Mnihamishe Nchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mrembo @nadiagulamhussen anasema;

"Uhusiano ukija kwa Speed sana basi utaondoka kwa speed sana.

Manara ameamua Kuanika uhusiano wake na Wake zake mitandaoni, ninaimani wataachana pia mitandaoni kama Ambavyo Cessy na Lukamba walivyoachana Instagram.

Manara sio Msanii, hizi mambo za Show Aachane nazo.

Kwanza hawa wanawake ni wanafiki mno, wanavyokuwa na Manara wanajifanya wanampenda sana, ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa hakuna mwanamke mwenye moyo wa chuma, ambaye anavumilia kuwa mke mwenza, hivyo hawa wanavyochekacheka mbele ya Camera wanamuigizia tu manara.

Manara akiweza kudumu na hii hali ya kumiliki hawa wanawake wawili kwa zaidi ya Miezi sita mimi nahama nchi, naenda Burundi-@nadiagulamhussen

Kwa upande wako unahisi @nadiagulamhussen yupo sahihi? Je manara aache tabia ya ku-post wake zake mara kwa mara? Je hakuna shida yoyote akiendelea ku-post?

Hopetyga
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad