Kutoka Kuitwa Michael Jackson wa Afrika Mpaka Asake wa Tandale

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muda mwingine Harmonize inabidi awe na Heshima, Kumuita Diamond "Asake wa Tandale" ni udhalilishaji huo, Mbaya Zaidi Huyo Asake wa Tandale ndio amemfanya mpaka leo hii anapata kiburi cha kutoa nyimbo za Majungu.


Harmonize akubali kwamba alisaidiwa na Diamond wala haikuwa biashara kama wengi wanavyodai. Diamond angeweza kumsajili mtu yoyote yule WCB na akaingiza Pesa, Ila Harmonize kwa kipindi kile haikuwa Rahisi kupata Msaada popote pale, hivyo kuingia WCB ulikuwa msaada kwake, hata kama Diamond alikuwa anamkata Hela lakini ni Msaada tu.


Harmonize ametoka Wasafi amelipa Tsh Million 500 tu na amepewa account zake za mitandao ya Kijamii pamoja na Digital Platforms za Nyimbo zake.


Kubwa zaidi amepewa na jina lake, haoni kama ni Msaada? Hajui kwamba Kizz Daniel zamani alikuwa anaitwa "Kiss Daniel" ila 2018 alipoondoka G-worldwide Label aliacha kutumia jina hilo, Label ilikataa kabisa kumpa Jina la "Kiss"


Busta Rhymes mwaka 2021 alimpa heshima kubwa sana Diamond kwa kumuita "An African Michael Jackson"


Legend Kama "Busta Rhymes" anakubali Uwezo wa Diamond, Huyu Harmonize anapata wapi ujasiri wa Kumdhalilisha Diamond kwa kumuita "Asake wa Tandale"?

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad