Kama Lukamba Angemsikiliza MANGE Kimambi Kuhusu MKEWE Haya Yote Yasingetokea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mnakumbuka Vita ya Mange na Lukamba?

Mange alimchana Lukamba kwamba Cessy anaji**** Dubai.

Lukamba alibisha sana, Mange akaongeza kwamba Lukamba , Hana hela, analelewa na Cessy, Cessy anada**** kisha anakuja kumlisha Lukamba, yote haya Lukamba alibisha tena kwa nguvu zote

Wazee, Kuna ile kauli inasema, "Time will Tell"

Hatimae Lukamba ameanza kuamini kwamba Cessy alikuwa anafanya hivyo vitu Dubai, maana Limemkuta Jambo, Hivi karibuni Cessy akiwa Dubai alikuwa ana chat na Lukamba na akaahidi kwamba hataenda Club, atakuwa amelala tu, mara gafla Lukamba akaona Clip Cessy yupo Club. Lukamba akachukia sana.

Yote hayo yametokea Cessy hakuomba msamaha, zaidi aliuliza tu "Kwahiyo hukumu ya jambo hili ni Ipi"?

Hukumu iliyotokea ni wawili hao kuachana.

Kama angemsikiliza Mange kuhusu tabia za mkewe huko Dubai basi haya ya kuchafuana hadharani yasingetokea

Mwanaume ogopa sana mapenzi ya kuanikana Public wakati huna hela ya kutunza, Madoni watakusaidia kutunza.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad