Kontawa Afunguka "Nimeanza Kupata Simu za Endorsements Baada ya Remix ya Champion"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 




Kupitia 255 ya XXL ndani ya #cloudsfm muimbaji kwenye game ya Bongo Flava, Kontawaa ameweka wazi kuanza kupokea simu za endorsements baada tu ya kufanya remix ya #champion na mwanamuziki Harmonize . Kontawa amedai Harmonize ni msanii mkubwa na ukiacha kuwa Champion ilishakuwa ngoma kubwa tayari lakini anaamini Harmonize ameiongezea ukubwa zaidi ngoma hiyo ambayo Og yake zilitumika dakika 30 pekee kukamilika.


Matter of fact ni kuwa uwenda watu wengi hasa mashabiki wa WCB hawajapendezwa na Verse ya Harmonize, lakini imefanya watu kuufwatilia zaidi wimbo huo ambao kibiashara ni Bingo kwa Kontawa, na hicho ndicho kinacho fanya impact ya wimbo kuwa kubwa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad