Ligi ya Mabingwa: Simba Qeens Yaishia Nusu Fainali.. Yachapwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Safari ya timu hiyo imemalizika katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kufungwa goli 1-0 dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini

Licha ya kuonesha soka la ushindani muda mwingi wa mchezo huo, wawakilishi hao wa Tanzania walishindwa kuifungua ngome ya wapinzani wao kwenye Uwanja wa Moulay Hassan, Jijini Rabat Nchini Morocco

Kwa matokeo hayo, Mamelodi Sundowns ambayo ni Bingwa Mtetezi imeingia Fainali ya michuano hiyo na inatarajiwa kucheza na mshindi kati ya AS FAR ya Morocco dhidi ya Bayelsa Queens ya Nigeria
-
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad