Simba Yavutwa Shati na Singida Big Stars..Yanga Yabakia Kileleni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Sare ya goli 1-1 ambayo Simba SC imeipata dhidi ya Singida Big Stars kwenye Uwanja wa Liti, leo Novemba 9, 2022 imeifanya timu hiyo kuendelea kubaki nafasi ya pili na kushindwa kuifikia Yanga ambayo inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara

Singida ambayo ina pointi 18 imepata goli lake kupitia kwa Deus Kaseke wakati Simba ilipata goli lake kupitia kwa Peter Banda


Simba imefikisha pointi 18 ikiwa imecheza Mechi 9 wakati Yanga ina pointi 20 katika Michezo 8
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad