Makubwa Yaibuka...Kisa Ali Kiba Kutopost Album ya Ommy Dimpoz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii @ommydimpoz Amezikata Taarifa Za Mitandaoni Kuhusu Uwepo Wa Tofauti Kati Yake Na Msanii @officialalikiba , Story Hii Imekuja Baada Ya #KIBA Kuonekana Kutopost Katika IG Yake Album Mpya Ya #DIMPOZ #Didecation Ambayo Imetoka Siku Za Hivi Karibuni Jambo Ambalo #DIMPOZ Amesema Hiyo Haiwezi Kuwa Shida.

Kwenye #Xxl Ya Clouds FM #DIMPOZ Amesema............."#ALIKIBA Twitter Alipost (Kuhusu Album Mpya Ya #DIMPOZ) Ujue Mimi Siku Hizi Mambo Ya Posts Sijui Birthday Mtu Hajakupost Unakasirika Hapana, Kama Watu Mpo Vizuri Mpo Vizuri Watu Wasianze Kutengeneza Story Kwasababu Ya Mitandao Ya Kijamii Je Kabla Ya Mitandao? Tulikuwa Tunaishije?''

"Kabla Ya Mitandao Ya Kijamii Tulikuwa Tunaishi Vipi? Mtu Anaweza Akawa Anakusapoti Akawa Anasikiliza Akiwa Na Watu Wake Hakuna Shida Yoyote''

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad