Mwili wa kichanga waokotwa kwenye dampo Mwanza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wakazi wa mtaa wa Shibayi kata ya Buhongwa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza wamepata taharuki baada ya kuona mwili wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na umri wa miezi sita ukiwa umewekwa kwenye boksi na kutupwa katika dampo lilipo kwenye soko la mtaa huo



Mwili huo unadaiwa kutupwa leo majira ya asubuhi kwenye dampo ambapo watu waliokuwa wanaokota mabaki ya chakula waliupata mwili huo kwenye boksi moja ndani ya dampo hilo


‘Sasa ile kukimbilia lile toroli tukaanza kuchambua chambua sasa kuna mwezetu akakimbilia boksi akaanza kuchambua  nikamuuliza sasa hilo boksi umepata na manguo akasema ehh akaendelea kulichambua baadae akanyamaza mimi nikamuambia umeangalia kuna nini? Akasema kuna mtoto nikamuuliza kweli? Nikaenda kuangalia nikakuta kweli kuna mtoto ndio tukaanza kuwaambia watu’ amesema moja ya shuhuda Joyce Muna



Akizungumza kwa njia ya simu afisa mtendaji wa kata ya Buhongwa Heaven Mauki amesema tukio hilo ni kwanza kutokea katika kata hiyo na kwamba kwa sasa mwili wa kichanga hicho umechukuliwa na jeshi la polisi na umehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza Sekou toure

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad