RC Malima atoa siku 7 walioua albino wakamatwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima ametoa siku saba kwa viongozi  wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa huo kufanya opereshi na kuwakamata waliohusika na mauaji ya Joseph Mathias mwenye umri  wa miaka 50 mkazi wa Kijiji cha Ngulla Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza ambae ni mlemavu wa ngozi



Joseph ameuwawa kwa kukatwa panga  na watu wasiojulikana kwenye mkono wake wa kulia  usiku wa kuamkia leo Novemba 3/2022 akiwa nyumbani kwakwe.


Inaelezwa kuwa watu



hao ambao idadi yao bado haijafahamika walivamia nyumba aliyokuwa akiishi Joseph Mathias na familia yake na kisha kutekeleza mauaji hayo


Mwenyekiti wa chama cha watu wenye ulemavu mkoa wa Mwanza Alfred Kapole amesikitishwa na tukio hilo na kuiomba jamiii kuacha kufanya vitendo vya kikatili


kwa upande wake Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza Mairi Makori amesema hadi Sasa tayari wanawashikilia watu watatu katika tukio hilo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad