Rosa Ree "Nimeamua Kumiliki Mziki Wangu Ulioko Kwenye Album Yangu Kwa Asilimia 100 Sijauza Kwa Kampuni Yoyote"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapa @rosa_ree ametangaza rasmi ujio wa album yake mpya iitwayo "Goddess" ambayo ameitaja kuiandaa kwa takribani miaka minne. Ameeleza kupitia ukurasa wake wa Instagram.


Kwenye maelezo yake pia @rosa_ree amebainisha kwamba, anaachia album yake hiyo kama msanii anayejitegemea mwenyewe yani adhaminiwi na lebo yoyote na wala hajauza muziki wake kwa kampuni yoyote ya usambazaji wa muziki. Ameeleza kampuni nyingi zilimfuata kutaka kumdhamini lakini amesema amechagua kumiliki muziki wake kwa asilimia mia.


Kuhusu album yake, @rosa_ree ameeleza kwamba ameweka kila version ya Rosa Ree kwenye album hiyo, "ROSARY the Daughter, ROSAA the Sister/Friend, ROSARY the Mother, ROSA REE the Artist na hata yule Rosa Ree nisiyemjua ambaye bado naendelea kumgundua" - ameeleza na kuongeza, "Nimewapa MIMI HALISI. I’ve put my blood, sweat and tears into this album."


Kaa tayari kwa album hii mpya na ya kwanza kwa @rosa_ree katika safari yake ya muziki.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad