Shaffih Dauda "Nafurahishwa Sana na Wachezaji Wazawa Msimu Huu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kabla ya Mtanzania mwingine kuonesha mpira mkubwa sana eneo la Kiungo pale Tunis wa kuitwa @sure8boy basi kuna Mtanzania mwingine Kiungo wa mpira aliuwasha sana pale Singida anaitwa @ndemla13

Kuna kizazi fulani kilitokea hapa nchini, kilizalisha Viungo wengi sana ambao wengi kwasasa ndio uti wa mgongo wa timu zao, mpira mzuri sana wanaupiga, binafsi nafurahishwa sana na wazawa msimu huu.

Ilikuwa siku ya kuipa heshima bendera na rangi zake nne, good game kwa Sure Boy na Said Khamis Ndemla, moja kati ya kizazi bora sana cha viungo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad