Dereva na Kondakta Wamlawiti mtoto Kwenye School Basi Kinondoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe amesema tayari Watu wawili akiwemo Dereva na Utingo wa Basi la Shule ya Starlight Pre and Primary wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti Mwanafunzi wa Kike wa Shule hiyo mwenye umri wa miaka sita.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa juu wawili hao kudaiwa kumfanyia ukatili huo Mwanafunzi huyo(jina limehifadhiwa) ndani ya gari la Shule.


@AyoTV na millardayo.com imefika hadi eneo la Shule ambapo imezungumza na DC Gondwe aliyeambatana na Waziri Gwajima, Gondwe amesema “Tulishatoa elimu kwa Shule za Kinondoni kwanza kufahamu na kutoa huduma bora kwa Watoto na hapa walikuja lakini katika mabasi manne waliyokuwa nayo mawili wameweka matroni lakini mawili wameweka vijana wa kiume moja wapo ndio hilo limetokea la huyu Mtoto, tutasimamia miongozo ambayo imepitishwa na Serikali, la pili kwa hawa waliofanya hiki tumekwisha wakamata na tumewapeleka kwenye vyombo vya sheria na tumewafikisha Mahakamani, wapo Segerea”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad