Babu Tale Atunukiwa Stashahada ya Udaktari wa Heshima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja kwenye Record Label ya WCB, Hamisi Taletale @Babutale leo January 27, 2023 Jijini Dar es salaam ametunukiwa stashahada ya udaktari wa heshima kutokea Taasisi ya 'Academy of Universal Global Peace' (AUGP-USA) ya nchini Marekani.

Baada ya kutunukiwa Babutale amezungumza yafuatayo “Nashukuru sana kwa nafasi hii niliyopewa, hii ni kwa sababu ya yale niliyoyafanya kwenye kazi zangu za siku zote, leo hii mimi ni Artist Manager lakini vilevile ni Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, yote haya nimeyafanya kwa wakati mmoja wakaona si mbaya wanitunukie”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad