Kifo Cha Mwigizaji Kanumba Kilisababisha Connection Kukatika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Uwepo wa Kanumba ulivutia Watu wengi kuwekeza, Hasa Gabriel Mtitu na Steps. Angalia Filamu za Kanumba zilizotayarishwa na mtitu au Steps utagundua kwamba hela zilikuwa zinamwagwa, Kanumba aliwapiga bao wengine Maana Hakuna aliyekuwa anamkamata Kibajeti. Kama una Idea na Filamu tazama Filamu alizoigiza Kanumba utagundua kuna Gharama kubwa zilikuwa zinatumika.


Baada ya Kanumba Kufariki Steps na Mtitu hawakuacha kufanya kazi, walifanya na Wasanii kadhaa lakini wakagundua wanapoteza hela zao, maana Wana Invest lakini hawapati kitu, mara wasanii wakaanza kulalamika wananyonywa na Steps, Serikali ikaingilia kati Steps akaondoka, Mtitu Pia akaacha kutayarisha Filamu.


Kanumba alikuwa Kichwa, Kwanza ni mtunzi mzuri sana, Director na Mwigizaji bora, alikuwa na Mvuto wa kibiashara ndio maana Watu walikuwa wanawekeza kwake.


Mfano Diamond kwa sasa ikitokea amefariki msitegemee Coca-Cola, Pepsi Watampa Deal Timbulo. Huenda Wakasimamisha kabisa kufanya kazi na Wasanii wa Bongo, maana wengi hawana mvuto wa Kibiashara. Msanii kila siku anaonekana kibanda cha Kachori na Alkasusu Mujaarabu halafu anategemea apate deal la Voda kweli?


Wasanii wa Filamu jiwekeni kitaalamu sana msiigize kwa Mazoea hakika Mtavutia hata Netflix wamwage Mpunga mfanye kitu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad