Mengi Yazidi Kuibuka Familia ya Kifalme, Prince Harry Afunguka Kupigwa na Kaka yake Prince William Kisa Mkewe Meghan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Prince Harry ameamua kupasua Jipu uchungu kwamba aliwahi kushambuliwa na Kaka yake, Prince William. Kwenye Kitabu chake kipya ‘Spare’ Harry amebainisha kwamba ugomvi huo ulianza baada ya William kumdhihaki kwa maneno makali Meghan Markle ambaye ni mkewe.


Harry anasimulia ugomvi huo wa mwaka 2019 “Aliweka maji chini na kisha kuniita Jina langu lingine, kisha akanifuata, ilikuwa ni haraka sana. Alinishika kwenye Kola ya shati langu, akanikaba tai na kupiga mtama hadi chini. Niliangukia kwenye bakuli la Mbwa ambalo liliniachia michubuko mgongoni. Nililala hapo chini kwa muda na kisha kumwambia aondoke tu.” ameandika Harry.


Baada ya tukio hilo, Prince William alimfuata Harry na kumuomba radhi kisha kumwambia asimwambie taarifa hizi Meghan Markle, lakini Harry alizifikisha taarifa za tukio lile kwa mkewe huyo ambaye aliishia kusikitika.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad