Ticker

6/recent/ticker-posts

Shaban Kaoneka "Napigana Sana Lakini Anafanikiwa Mandonga"

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA


Mliona bondia Kaoneka kaenda kwa Nabii Jodevi kuombewa,anapigana sana ila Anafanikiwa mandonga😂😂

Lakini sio Kila muda wenye nguvu au mbio washindao mashindano kuna muda bahati umuangukia yoyote

Brother @ Wangu Alisema hivi juu ya hili

"Ameshindwa kuzielewa kanuni za kiroho juu ya utowaji wa ridhiki na huyo nabii wake kamdanganya kuwa amechawiwa haya sasa kaombewa tuone kama atafanikiwa.

Na anachokosea ni kujilinganisha na mandonga mtu ambaye walikutana kwa Bahati tuu kazini na yeye alitumika kama daraja la mandonga kufanikiwa kupitia kushindwa kwakwe kuna mda vita vingine ili uvishinde inakulazimu kushindwa kaoneka amesahau furaha yote aliokuwa nayo ya kumpiga mandonga nakupewa 500k huku mwenzie 100k.

Ukizielewa kanuni za kiroho safi sana Siku mandonga anapigwa niliwaambia watu Jamaa umasikini ndio basi tena kutoboa maisha. Afu nikaona Lulu Michael ameandika kuhusu utajiri wa mandonga baada ya kupigwa."

Nataka ufanikiwe lakini tambua sio kila mafanikio yanatokana na bidiii kuna nguvu nyingine inayoongoza kupata na Kukosa.

Uwe hai mwaka huu wote 2023 uwe mwaka Wenu Wa heshima na ustawi.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Tanzania Zipo HAPA

Ufadhili wa Masomo ( Scholaships) Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments