Uchebe Ashindwa Kujizuia Alia Pamoja na Shilole Baada ya Shishi Food Kuvunjwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Uchebe siku ya leo ameonesha Ujasiri wa namna yake kwa kumuandikia ujumbe mzito aliyewahi kuwa Mke wake @officialshilole .

Uchebe kwenye Ujumbe wake amesema kuwa "UKWEL USIOPINGIKA NI KWAMBA, WEWE NI MWANAMKE JASIRI SANA NA KWANGU MIMI NI KAMA MFANO WA KUIGWA MANA ULITHUBUTU NA UKAWEZA HAPA TANZANIA SO POLE NA YALIYOTOKEA LAKIN KILA JAMBO MUNGU HULILETA NA KUKUPA MBINU MBADALA YA KULITATUA SO NAKUMBUKA KIPINDI CHA NYUMA HIYO OFISI TUMEIPAMBANIA SANA USIKU NA MCHANA ILI TU UJIKWAMUE NA UMASKINI PAMOJA NA WATOTO WASOME NA KADHALIKA NIMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA KUTOKUWEPO TENA KWA OFISI YAKO ILA MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO MY SUPER WOMEN MUNGU AZIDISHE KHERI YAKE NAAMINI SOON UTATUPA NEW LOCATION IN DAR ES SALAAM NAKUPENDA SHISHI WANGU #KUACHANA SIO VITA . Sey Ayeyeyeee🔧🚘🔧

Haya yanatokea mara Baada ya siku ya Leo Shilole kutangaza rasmi kuifunga ShishiFood tawi la Kinondoni ili kupisha ujenzi wa Hospital kwenye eneo Hilo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad