Wimbo wa Diamond Platnumz Yatapita Washika Namba 3 Duniani Mtandao wa Shazam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wimbo wa Diamond Platnumz Yatapita Washika Namba 3 Duniani Mtandao wa Shazam

Ni wazi #Yatapita imekubalika ulimwenguni, hitsong hiyo ya mwimbaji @diamondplatnumz umekuwa ni wimbo wa tatu wa Afrobeats unaotafutwa zaidi Duniani kupitia mtandao wa Shazam uliochini ya Apple Music.


Wimbo huo wenye siku 10 tangu utoke, ambapo ulitoka rasmi Januari 20, pia kwenye Shazam unashika namba moja nchini Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na South Afrika na ukiwemo kwenye chart za nchi zaidi ya 41 Duniani.


"Yatapita" ni wimbo wa mapenzi ambao unamrejesha @diamondplatnumz kule alipoanzia. Umewapa mashabiki kumbukumbu ya mkali huyo alipoanza muziki akiwa kwenye hali ya chini.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad