Ishu ya Rosa Ree Kuchukuliwa na Rick Ross imekaa Hivi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ishu ya Rosa Ree Kuchukuliwa na Rick Ross imekaa Hivi

ROSA REE; ni rapa mkali wa kike Bongo ambaye amefunguka kwa mara nyingine kuhusu ishu ya kusainiwa kwenye lebo ya rapa mkubwa wa Marekani, Rick Ross iitwayo Maybach Music Group

“Mambo ni mazuri kwa sababu tunawasiliana, tunaongea na huwezi kujua yajayo yanaweza kuwa ni makubwa sana, sitaki kufichua chochote napenda mfahamu ni kitu gani kitakuwepo huko mbele pindi tutakapokuwa tayari, Bado tuna maongezi tukifikia Muafaka nitawajulisha” anasema Rosa Ree.


Mwaka jana  Rick Ross au Madevu, akiwa kwenye ziara ya kimuziki barani Afrika aliweka wazi kuvutiwa na wasanii watatu barani humo na mmojawao akiwa ni Rosa Ree kutoka Tanzania

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad