Kimenuka...Harmonize Awashukia Kampuni ya Ziiki Media , Adai Kuna Mtu Anakula Hela zake za Youtube

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Harmonize ameandika kusikitishwa na namna ambavyo toka aanze muziki wake hajawi kupata hata Dola Moja kwa takribani miaka 7 aliyopo kwenye game, yaani tangu muziki wake uanze kusambazwa katika patforms mbalimbali.


Harmonize ambaye kwa sasa anafanya kazi na Kampuni ya usimamizi ya Mziiki, ameeleza kwamba yeye ndiye mmiliki halali wa kazi zake lakini hajui nani anaekusaanya pesa zake na kuzichukua.


Hivyo ameitaka Kampuni ya Mziiki imuonyeshe njia kwenye hilo la sivyo atatangaza kuachana nao mapema kesho asubuhi na atawashukuru kwa kuwa nae.


Aidha, katika post yake nyingine Harmonize ameeleza kwamba anahitaji kampuni nyingine ya usambazaji na uchapishaji haraka sana na iwasiliane na uongozi wake.

Mkali huyo ameendelea tena kuwaka kupitia insta story yake na mara hii ameeleza kwamba hata katika wimbo wake #Kwangwaru kuna mtu kabeba zaidi ya Milioni 100 yake iliyopatikana katika kazi hiyo na mtu huyo (hajamtaja jina) anasema kabeba pesa hiyo bila wasiwasi wowote kama katunga yeye.


Konde ameendelea kutema cheche kwenye ujumbe wake akihisi kwamba huenda ndio maana walikuwa wanapambana sana apotee kwani walijua akifika levo hii sasa watatapika! - Ameeleza.


Aidha, Harmonize ameendelea kukazia kwamba ni muda wa kupata pesa zake, anasema hapendi ugomvi ila atambidi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad