Mashabiki Wammisi Davido Katika Mitandao ya Kijamii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Msanii wa Nigeria na mwenye tuzo nyingi, Davido amekuwa akitrend barani Afrika wiki hii baada ya kusimama kutumia mitandao ya kijamii kwa muda mrefu kufuatia kufiwa na mtoto wake mwishoni mwa mwaka jana.


Mashabiki kutoka kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii wamekuwa wakishiriki baadhi ya matukio muhimu ya nyota huyo.


Nyota huyo aliyetumbuiza kwenye sherehe za kufunga Kombe la Dunia mwaka jana anajiandaa kutoa albamu yake mwezi ujao.

Kwa moyo wake wa kujitolea, Davido alitoa naira milioni 1 kama zawadi kwa dereva wa Bajaji nchini Nigeria ambaye aliweka picha za staa huyo kwenye chombo chake cha usafiri akionyesha upendo aliyonao kwake.


Davido amekuwa akijihusisha na kazi nyingi za hisani ikiwa ni pamoja na kufadhili vituo vya watoto yatima pamoja na kusaidia wabunifu kufikia ndoto zao lakini pia amekuwa akitumia ushawishi wake kuibua vipaji vingi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad