Rekodi Kuibeba Yanga Leo Dhidi KMC FC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ligi kuuNBC Tanzania bara inataraji kuendelea tena Jumatano ya Leo Februari 22, 2023 kwa mchezo mmoja ambapo mabingwa watetezi wa Ligi hiyo, klabu ya Yanga itakabiriana na klabu ya KMC saa 10:00 Jioni kwenye dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Kuelekea kwenye mchezo huo Makocha wa Wasaidizi wa klabu za Yanga na KMC wamekiri kuwa mchezo huo utakuwa mgumu lakini kila mmoja akijinasibu kuondoka na alama tatu muhimu baada ya dakika 90.


'Ukiachana na michezo hiyo wanaotufuata nyuma wanapambana ili nao waweze kuja juu, lakini tumejipanga kufanya vizuri na hali ya kikosi ipo vizuri, wachezaji wetu ambao walikuwa majeruhi wamerejea kwa ajili ya kupambana ili kumaliza katika nafasi nzuri ''


Yanga SC ndiye kinara wa Ligi Kuu NBC Tanzania akiwa na alama 59 ilhali KMC FC ipo nafasi ya 12 ikiwa na alama zak3 23. Kwenye michezo 9 waliyokutana KMC imeshinda mara 1 tu tena mwaka 2020 huku ikifungwa na Yanga SC mara 6 na kutoa sare 2.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad