Ukweli Mchungu..Harmonize Ndio Aliyojaza Uwanja MOSHI, Wasanii Wengine Walisindikiza tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya kuandika kwamba jana Harmonize amejaza Moshi, vijana Wengi wa Moshi Takribani elfu Moja wamekuja Inbox na wakanieleza kwamba Show haikuwa ya Harmonize, Alialikwa tu.


Wamenichekesha sana Waliposema kwamba Show ya Jana Imejaa kwa sababu ya Whozu, Maana kuna Mwaka Whozu ameenda peke yake kwenye Huo uwanja na Alijaza.


Lakini kwa Akili ya Kawaida huo ni uongo, Whozu hana uwezo wa kujaza uwanja. Whozu hana Mashabiki, Sijawahi kusikia Mtu anasema eti Yeye ni shabiki wa Whozu. Wasanii hapa Bongo wenye uwezo wa kujaza uwanja ni wawili tu, Diamond na Harmonize.


Hivyo Show ya Jana pale Moshi bila Harmonize kwenda wala pasingejaa, ingawa Kiingilio kilikuwa Bure. Angalia hata ile Crowd ilivyopagawa baada ya Harmonize kupanda jukwaani ndio mtaamini kwamba watu walienda kwa ajili ya Jamaa.


Fiesta ya Mwaka jana imepoa kwa sababu Harmonize hakuwepo, Kiufupi kwa sasa kwenye Show za Ndani asipokuwepo Diamond basi awepo Harmonize hapo kitawaka.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad